AMIGO JOHNSON SIKU YA TAR 9 DECEMBER WALIUNGANA NA VIJANA WENZIE KWENDA KUWAONA WATOTO YATIMA KATIKA KITUO CHA KULEA WATOTO HAO HUKO BUNJU KINACHOITWA SIFA GROUP FOUNDATION.
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA TUKIO ZIMA LILILO ENDELEA SIKU HIYO YA JUMATANO TAR TISA MWEZI WA KUMI NA MBILI MWAKA ELFU MBILI NA KUMI NA TANO.
WATOTO WAKIWA NA POZI LA UTAM WA ICE.BROTHERS WAKICHEZA NA WATOTO NA KUPATA PICHA YA PAMOJA NAO.
WADADA WALIOWATEMBELEA WATOTO WA KATIKA KITUO HICHO WAKIWA WANAANDAA CHAKULA CHA PAMOJA.
WATOTO WA KIUME WAKIWA KATIKA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU,
WATOTO WAKIWA WAMETOKA KUPOKEA ZAWADI ZILIZOLETWA NA WAGENI WAO
AGNES AKICHEKA SANA MARA BAADA YA KUMUONA AMIGO MBELE YAKE.
AGNES AKIINGIA NA ZAWADI YA TAMTAM.
WATOTO WAKIWA KATIKA PICHA YA UPENDO KUASHIRIA FARAJA KWAO.
WATOTO WA KIKE WAKIWA WANACHEZA MCHEZO WA KURUKA KAMBA.
.BROTHER AKIWA NA WATOTO WAKIFURAHI NA KUCHEZA KWA PAMOJA.
TULIPATA NAFASI YA KUSHEREHEKEA BIRTHDAY CAKE KWA PAMOJA.
TULIPATA WASAA MZURI WA PICHA YA PAMOJA NDANI.
WADADA KWA PAMOJA WAKIJADILI.
WATOTO KATIKA POZI.
PICHA YA PAMOJA TO SHOW LOVE TO ALL.
BELINDA BEBE AKIWA NA AGNES TALL.
POZI PICHANI.
WATOTO WALIPATA NAFASI YA KUCHORWA NA MTAALAM YOHANA HAULE.KIJANA WAKITANZANIA ALIESHINDA TUZO ULAYA.
TULIPATA WAKATI MZURI PIA WA KUPATA CHAKULA CHA PAMOJA.
PAUL MAJO NA WENGINE ,,, HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA,,,, PAUL WASALIMIE WENGINE.
BASI KUKAWA NA WAKATI MZURI WA PICHA(SELFIE), MZIKI NA KUFURAHI KWA PAMOJA...
MDA WA ZAWADI NA MAPICHA UKAWADIA.
PICHA ZA PAMOJA HAZIKUKOSA NA SIKU IKAISHA KAMA HIVI,,KATIKA KITUO CHA KULEA WATOTO YATIMA :SIFA GROUP FOUNDATION KILICHOPO BUNJU DAR ES SALAAM TANZANIA.
No comments:
Post a Comment