Monday, October 12, 2015
Amigo Johnson Production crew wakiwa ktk setup uwanja wa taifa kabla ya Tamasha la Uzinduzi wa albamu ya SIFA NA UTUKUFU ya UHURU MORAVIAN EFATHA CHOIR ambao uliambatana na Live recording ya collection ya nyimbo za kwaya hiyo
AMIGO JOHNSON wanafanya kazi zote za videos katika hali ya juu sana na kwa uharaka mkubwa, AMIGO JOHNSON wako na wataalam wenye uwezo mkubwa na uzoefu wa mda mwingi kwenye kazi hizona ndiomaana wanafanya kaz zenye ubora wa ali ya juu sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)








No comments:
Post a Comment